Nyumbani » Mikopo Ya Biashara
Mfanyabiashara anaweza kukopa kwa ajili ya kukuza biashara yake, kiwango cha mkopo kitazingatia thamani ya biashara anayomiliki kwa kuzingatia uthibitisho wa fedha biashara yake imekuwa ikiingiza kwa kipindi cha miezi mitatu mfululizo.