Nyumbani » Mikopo Ya Wafanyakazi
Wafanyakazi wanaweza kukopa mkopo kiasi wanachokihitaji kulingana na kiwango cha mshahara wao kwa mwezi. Dhamana itatolewa na muajiri wako kwa kuthibitisha mshahara wako kwa kipindi cha miezi mitatu iliyopita.