nyumbani » huduma zetu
DHAMANA NI MSHAHARA Wafanyakazi wanaweza kukopo kiasi wanachokihitaji kulingana na kiwango cha mshahara wako kwa mwenzi mmoja. Dhamana itatolewa na muajiri wako kwa kuthibitisha mshahara wako kwa kipindi cha miezi mitatu iliyopita.
DHAMANA NI GARI, PIKIPIKI AU BAJAJI Mtu binafsi anaweza kukopa kiwango anachokihitaji kwa kuzingatia thamani ya dhamana aliyonayo. Dhaman yake ni thamani ya Gari, Pikipiki au Bajaji.
DHAMANA NI BIASHARA Mfanyabiashara anaweza kukopa kwa ajili ya kukuza biashara yake, kiwango cha mkopo kitazingatia thamani ya biashara anayomiliki kwa kuzingatia uthibitisho wa fedha biashara yake imekuwa ikiingiza kwa kipindi cha miezi mitatu mfululizo.
Mikopo hii ni kwa lengo la kutatua tatizo la haraka.