Inalipwa kila mwezi kwa Mpesa au kwenye bank account yetu.
Ukishalipia, watoa huduma wetu watakuja kukagua dhamana kama ni mali. Kama ni gari/Bajaji au Pikipiki, itawekwa kwenye jina la Madam Pesa Microfinance Ltd kwa kipindi cha ndani ya Mkopo, gharama za TRA za kubadili jina zitatolewa kwenye mkopo. Utaambiwa mapema gharama hizi.
Inahusisha muhuri wa mwanasheria kwa ajili ya mkopo, inalipwa wakati maombi ya mkopo yamekubaliwa, hii inaweza kutolewa kwenye mkopo wako au ukalipa tofauti.
Mkataba utasainiwa ofisini kwetu, utakuja na mashahidi wawili.