Nyumbani » Mikopo Binafsi
Mtu binafsi anaweza kukopa kiwango anachokihitaji kwa kuzingatia thamani ya dhamana aliyonayo. Dhamana yake ni thamani ya Gari, Pikipiki au Bajaj.